# Tuache uvumilivu ukamilishe kazi yake. Hapa uvumilivu imezungumzwa kama vile mtu yupo kazini. "Jifunze kuvumilia magumu yote" # Kukua kabisa Kuwa na uwezo wa kumwamini Kristo na kumtii yeye katika hali zote. # Usipungukiwe chochote Hii inaweza kuwa sentensi chanya "kuwa na uwezo kumtii Mungu kwa kila jambo" # Muombe Mungu, yeye atoaye "Muombe Mungu. Ni yeye atoaye" # Ukarimu na "bila kukemea Hii inaweza kuzungumziwa kwa mtazamo chanya "ukarimu au furaha" # Atawapa "Mungu atawapa" au "Mungu atajibu maombi yenu"