sw_tn/isa/58/14.md

12 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Nitakufanya uendeshe katika vilele vya dunia
Hii ina maana ya Mungu kunua taifa katika sifa na nguvu kwa mwitikio wa kuishi katika haki.
# kwa maana kinywa cha Yahwe kimenena
"kinywa" inaashiria kile ambacho Yahwe anasema. "Kwa maana Yahwe amekisema"