# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Nitakufanya uendeshe katika vilele vya dunia Hii ina maana ya Mungu kunua taifa katika sifa na nguvu kwa mwitikio wa kuishi katika haki. # kwa maana kinywa cha Yahwe kimenena "kinywa" inaashiria kile ambacho Yahwe anasema. "Kwa maana Yahwe amekisema"