sw_tn/isa/57/18.md

20 lines
573 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# njia zake
"njia zao". Hapa "zake" ina maana ya watu wa Israeli.
# fariji na tuliza wale ambao wanaomboleza kwa ajili yake
"Nitabembeleza na kutuliza wale ambao wanahisi huzuni kwa ajili ya mateso ya watu kwa sababu ya tabia yao ya dhambi"
# na ninatengeneza matunda ya midomo
Hapa "matunda ya midomo" ina maana ya kile mtu anachosema. "na ninasababisha wao wanisifu na kunishukuru"
# Amani, amani, kwa wale ambao wapo mbali sana
"Nimefanya amani pamoja nao ambao wako mbali" Neno "Amani" linarudiwa kwa msisitizo.