sw_tn/isa/53/04.md

12 lines
429 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kumfafanu mtumishi wa Yahwe.
# amechukua ugonjwa wetu na kubeba huzuni zetu
"Kuchukua" au kubeba usahaulifu kama ugonjwa na huzuni inawakilisha kuuchukua. "amechukua ugonjwa wetu na huzuni juu yake mwenyewe"
# ingawa tulidhani ya kuwa aliadhibiwa na Mungu, alipigwa na Mungu, na kuteswa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ingawa tulidhani Mungu alikuwa akimuadhibu na kumtesa"