# Maelezo ya Jumla Isaya anaendelea kumfafanu mtumishi wa Yahwe. # amechukua ugonjwa wetu na kubeba huzuni zetu "Kuchukua" au kubeba usahaulifu kama ugonjwa na huzuni inawakilisha kuuchukua. "amechukua ugonjwa wetu na huzuni juu yake mwenyewe" # ingawa tulidhani ya kuwa aliadhibiwa na Mungu, alipigwa na Mungu, na kuteswa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ingawa tulidhani Mungu alikuwa akimuadhibu na kumtesa"