sw_tn/isa/48/01.md

32 lines
632 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sikia haya
"Sikiliza ujumbe wangu". Yahwe anazungumza.
# nyumba ya Yakobo
Hapa "nyumba" ina maana ya vizazi vya Yakobo. "vizazi vya Yakobo"
# ambao wameitwa kwa jina la Israeli
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ambao kila mtu huwaita watu wa Israeli"
# wametokana na mbegu ya Yuda
Msemo huu unasisitiza ya kwamba ni vizazi vya moja kwa moja, vya kimwili vya Yuda. "ni vizazi vya Yuda"
# kumsihi Mungu wa Israeli
"kumwita Mungu wa Israeli"
# wanajiita wenyewe
Hii ina maana ya wtu wa Israeli. "mnajiita wenyewe"
# mji mtakatifu
Hii ina maana ya Yerusalemu.
# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli