sw_tn/isa/43/20.md

8 lines
232 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanyama pori wa mashamba wataniinua mimi, mbweha na mbuni
Hapa wanyama wanamheshimu Yahwe kana kwamba walikuwa watu.
# mbweha na mbuni
Hawa ni mifano ya aina ya wanyama ambao watamheshimu Yahwe. "mbweha na mbuni wataniheshimu"