# wanyama pori wa mashamba wataniinua mimi, mbweha na mbuni Hapa wanyama wanamheshimu Yahwe kana kwamba walikuwa watu. # mbweha na mbuni Hawa ni mifano ya aina ya wanyama ambao watamheshimu Yahwe. "mbweha na mbuni wataniheshimu"