sw_tn/isa/42/12.md

16 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Waache watoe utukufu
Hapa "waache" ina maana ya watu katika nchi za pwani.
# Yahwe atatoka nje kama hodari; kama mwanamume wa vita
Yahwe analinganishwa na hodari ambaye yupo tayari kuwashinda watu wa adui zake.
# atamwamsha ari yake
Hapa "ari" ina maana ya uchu ambao hodari hupitia anapokaribia kupigana vita. Yahwe kuchangamsha ari yake inazungumziwa kana kwamba aliamsha kama upepo unapoamsha mawimbi ya maji.