sw_tn/isa/39/05.md

16 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe wa majeshi
Hili ni jina la Mungu wa watu wa Israeli.
# neno
"ujumbe"
# Tazama
Neno hili linatumika hapa kama lahaja kuvuta usikivu wa Hezekia kwa kile kinachofuatwa kusemwa. "Sikilizeni"
# ambapo kila kitu katika kasri yako ... kitabebwa mpaka Babeli
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "pale ambapo jeshi la adui litachukua kila kitu katika kasri yako ... kurudi Babeli"