# Yahwe wa majeshi Hili ni jina la Mungu wa watu wa Israeli. # neno "ujumbe" # Tazama Neno hili linatumika hapa kama lahaja kuvuta usikivu wa Hezekia kwa kile kinachofuatwa kusemwa. "Sikilizeni" # ambapo kila kitu katika kasri yako ... kitabebwa mpaka Babeli Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "pale ambapo jeshi la adui litachukua kila kitu katika kasri yako ... kurudi Babeli"