forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
576 B
Markdown
20 lines
576 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Hezekia anaendelea maombi yake ya maandishi.
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana kuzimu haikushukuru wewe; kifo haikusifu wewe
|
||
|
|
||
|
Hapa "kuzimu" na "kifo" ina maana ya "watu waliokufa". "Kwa wale walio Kuzimu hawakushukuru; watu waliokufa hawakusifu"
|
||
|
|
||
|
# wale waendao chini shimoni
|
||
|
|
||
|
"wale ambao hushuka katika kaburi"
|
||
|
|
||
|
# hawatumaini katika uaminifu wako
|
||
|
|
||
|
"usiwe na matumaini katika uaminifu wako". Hapa "wako" ni umoja na ina maana ya Yahwe.
|
||
|
|
||
|
# Mtu anayeishi, mtu anayeishi
|
||
|
|
||
|
Hezekia anarudia msemo huu kusisitiza ya kuwa mtu hai pekee, na sio mfu, anaweza kutoa shukurani kwa Yahwe.
|