# Maelezo ya Jumla Hezekia anaendelea maombi yake ya maandishi. # Kwa maana kuzimu haikushukuru wewe; kifo haikusifu wewe Hapa "kuzimu" na "kifo" ina maana ya "watu waliokufa". "Kwa wale walio Kuzimu hawakushukuru; watu waliokufa hawakusifu" # wale waendao chini shimoni "wale ambao hushuka katika kaburi" # hawatumaini katika uaminifu wako "usiwe na matumaini katika uaminifu wako". Hapa "wako" ni umoja na ina maana ya Yahwe. # Mtu anayeishi, mtu anayeishi Hezekia anarudia msemo huu kusisitiza ya kuwa mtu hai pekee, na sio mfu, anaweza kutoa shukurani kwa Yahwe.