sw_tn/isa/30/14.md

28 lines
800 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anafafanua jinsi Yahwe ataangamiza watu wa Yuda.
# Ativunja
Hapa "ataivunja" ina maana ya sehemu ya ukuta ambayo inakaribia kuanguka. Sehemu katika ukuta ni sitiari ambayo inawakilisha watu wa Yuda na dhambi yao iliyotajwa katika 30:12
# kama chombo cha mfinyanzi kinavyovunjwa
Tashbihi hii ina maana ya kwamba kipande cha ukuta kitavunjika haraka na kikamilifu kama jagi la udongo linapoanguka chini.
# mfinyanzi
Mfinyanzi ni mtu ambaye hutengeneza vyungu na majagi kwa udongo.
# hakutapatikana
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "hakuna mtu ataweza kupata" au "hapatakuwa"
# kigae ambacho kitatumika kukwangua
"kigae kikubwa ya kutosha kukwangua"
# moto kutoka katika meko
Neno "moto" hapa lina maana ya majivu. "majivu kutoka katika sehemu ya moto"