sw_tn/isa/30/03.md

32 lines
917 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda.
# Kwa hiyo ulinzi wa Farao utakuwa aibu yako, na kimbilio katika kivuli cha Misri, fedheha yako
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "ulinzi", "aibu", na "fedheha" zinaelezwa kama vivumishi au vitenzi. "Kwa hiiyo utaibika kwa sabbu ulimtegemea Farao kukulinda; utafedheheshwa kwa sababu uliwategemea Wamisri kukuweka salama"
# kimbilio katika kivuli cha Misri
Ulinzi wa Misri kutoka kwa jeshi la adui inazungumziwa kana kwamba ulikuwa kivuli ambacho humlinda mtu kutoka na joto linalowaka la jua.
# wakuu
Hapa "wakuu" ina maana ya afisa au balozi, sio lazima wana wa mfalme.
# wao ... wata ... wao
Maneno haya yana maana ya watu wa Yuda.
# Soani ... Hanesi
Hii ilikuwa miji katika sehemu ya kaskazini ya Misri.
# wamekuja Hanesi
Hapa "kuja" inaweza kuandikwa kama "kuondoka"
# kwa sababu ya watu
"kwa sababu ya watu wa Misri"