sw_tn/isa/27/04.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kauli Kiunganishi
Hii inaendelea kuzungumza kuhusu watu wa Israeli kana kwamba walikuwa shamba la mizabibu.
# Sina hasira, Oh, hata kuwe na mibigili na miiba! Katika vita nitatembea dhidi yao
"Sina hasira. Kama kulikuwa na mibigili na miiba ningetembea dhidi yao katika vita"
# Sina hasira
Inaeleweka ya kwamba Yahwe hana hasira na watu wake tena. "Sina hasira na watu wangu tena"
# hata kuwe na mibigili na miiba
Adui za watu wa Israeli wanazungumziwa kana kwamba walikuwa mibigili na miiba inayoota katika shamba la mizabibu.
# mibigili na miiba
Mibigili na miiba hutumika mara kwa mara kama alama ya miji na nchi zilizoharibiwa
# Katika vita nitatembea dhidi yao
Yahwe kupigana na adui zake inazungumziwa kana kwamba alikuwa mwanajeshi katika jeshi.
# Ningetembea dhidi yao; Ningewachoma wote kwa pamoja
Hapa Isaya anaunganisha picha tofauti kuzungumzia maadui wa Yahwe. Anazungumza juu yao kana kwamba walikuwa mibigili na miiba lakini pia kama wanajeshi katika jeshi.
# isipokuwa washike ulinzi wangu
Hii inaweza kuandikwa upya ili kwamba nomino dhahania "ulinzi" ielezwe kama kitenzi "kulinda". "Isipokuwa waniulize kuwalinda wao"
# na kufanya amani pamoja na mimi; waache wafanya amani pamoja na mimi
"na waombe kuishi kwa amani pamoja nami; ninataka waishi kwa amani pamoja nami"