sw_tn/isa/26/13.md

12 lines
322 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# lakini tunasifu jina lako pekee
Hapa "jina" inawakilisha nafsi ya Mungu. "lakini tunakusifu wewe peke yako"
# hawatainuka
"hawatarudi katika uhai"
# kufanya kila kumbukumbu yao kutoweka
Yahwe kusababisha watu kutokumbuka wale aliowaangamiza inazungumziwa kana kwamba Yahwe alifanya kumbukumbu yao kutoweka au kufa.