# lakini tunasifu jina lako pekee Hapa "jina" inawakilisha nafsi ya Mungu. "lakini tunakusifu wewe peke yako" # hawatainuka "hawatarudi katika uhai" # kufanya kila kumbukumbu yao kutoweka Yahwe kusababisha watu kutokumbuka wale aliowaangamiza inazungumziwa kana kwamba Yahwe alifanya kumbukumbu yao kutoweka au kufa.