sw_tn/isa/25/06.md

28 lines
731 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika mlima huu
Hii ina maana ya Yerusalemu au Mlima Sayuni.
# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli.
# karamu ya vitu vinono
Hapa "vitu vinono" ina maana ya vyakula bora.
# karamu katika masimbi
"divai ya zamani". Hii ina maana ya divai bora.
# kifuniko juu ya watu wote, utando ulifumwa juu ya mataifa
Kifo, mateso, na huzuni inazungumziwa kana kwamba vilikuwa wingu jeusi au utando ambao hufunika kila mtu juu ya dunia.
# Ataimeza mauti milele
Yahwe kusababisha watu kuishi milele inazungumziwa kana kwamba angeweza kumeza kifo.
# aibu ya watu wake ataiondoa kutoka dunia nzima
Yahwe kusababisha watu kutokuwa na aibu tena inazungumziwa kana kwamba aibu ilikuwa kitu ambacho Yahwe angeweza kuondoa mbali.