sw_tn/isa/24/01.md

24 lines
728 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kufanya dunia kuwa tupu
"kufanya dunia kuwa na ukiwa" au "kuangamiza kila kitu juu ya dunia"
# Itakuja kuwa ya kwamba
Msemo huu unaweka alama kwa tukio muhimu.
# kama itakavyokuwa ... ndivyo itakuwa
Kile Yahwe atakachofanya hakielezwi hapa, lakini kinaeleweka. Hiii inaonyesha ya kwamba Mungu atawafanya watu kw njai moja. "kama Yahwe anavyotawanya ... kw hiyo atatawanya"
# kuhani ... mtoaji wa riba
Katika 24:2 Isaya anaorodhesha madaraja ya watu. Yanaweza kuwekwa kama nomino za wingi. "makuhani ... wale ambao hutoa riba"
# mpokeaji wa riba
"yule ambaye hudaiwa fedha". Neno "riba" lina maana ya fedha ya ziada ambayo mtu anatakiwa kulipa ili aweze kukopa fedha.
# mtoaji wa riba
"yule ambaye anadaiwa fedha"