# kufanya dunia kuwa tupu "kufanya dunia kuwa na ukiwa" au "kuangamiza kila kitu juu ya dunia" # Itakuja kuwa ya kwamba Msemo huu unaweka alama kwa tukio muhimu. # kama itakavyokuwa ... ndivyo itakuwa Kile Yahwe atakachofanya hakielezwi hapa, lakini kinaeleweka. Hiii inaonyesha ya kwamba Mungu atawafanya watu kw njai moja. "kama Yahwe anavyotawanya ... kw hiyo atatawanya" # kuhani ... mtoaji wa riba Katika 24:2 Isaya anaorodhesha madaraja ya watu. Yanaweza kuwekwa kama nomino za wingi. "makuhani ... wale ambao hutoa riba" # mpokeaji wa riba "yule ambaye hudaiwa fedha". Neno "riba" lina maana ya fedha ya ziada ambayo mtu anatakiwa kulipa ili aweze kukopa fedha. # mtoaji wa riba "yule ambaye anadaiwa fedha"