sw_tn/isa/19/03.md

28 lines
853 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Roho ya Misri itadhoofishwa kutoka kwa ndani. Nitaangamiza ushauri wake
Taifa la Misri linazungumziwa hapa kana kwamba lilikuwa mtu.
# Roho ya Misri itadhoofishwa kutoka kwa ndani
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Nitadhoofisha roho ya Misri kwa ndani"
# Nitaangamiza ushauri wake
Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "ushauri" inaelezwa kama kitenzi "shauri". "Nitawachangnaya wale amabo wanamshauri mfalme"
# ingawa
"ingawa" hata kama"
# waganga ... wachawi
Hawa ni watu ambao wanadai kuzungumza na wale ambao wamekufa.
# Nitawapa Wamisri katika mikono ya bwana mkali
Hapa "mkono" ina maana ya nguvu na tawala. "Nitatoa Wamisri katika utawala wa bwana mkali"
# hili ni tamko la Bwana , Yahwe wa majeshi
Nomino dhahania "tamko" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "hivi ndivyo Bwana, Yahwe wa majeshi, anavyosema"