# Roho ya Misri itadhoofishwa kutoka kwa ndani. Nitaangamiza ushauri wake Taifa la Misri linazungumziwa hapa kana kwamba lilikuwa mtu. # Roho ya Misri itadhoofishwa kutoka kwa ndani Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Nitadhoofisha roho ya Misri kwa ndani" # Nitaangamiza ushauri wake Hii inaweza kuandikwa ili kwamba nomino dhahania "ushauri" inaelezwa kama kitenzi "shauri". "Nitawachangnaya wale amabo wanamshauri mfalme" # ingawa "ingawa" hata kama" # waganga ... wachawi Hawa ni watu ambao wanadai kuzungumza na wale ambao wamekufa. # Nitawapa Wamisri katika mikono ya bwana mkali Hapa "mkono" ina maana ya nguvu na tawala. "Nitatoa Wamisri katika utawala wa bwana mkali" # hili ni tamko la Bwana , Yahwe wa majeshi Nomino dhahania "tamko" linaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "hivi ndivyo Bwana, Yahwe wa majeshi, anavyosema"