sw_tn/isa/08/01.md

8 lines
356 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe alisema kwangu
Hapa neno "kwangu" ina maana ya Isaya.
# Nitawaita kortini mashahidi waaminifu kushuhudia kwa ajili yangu
Maana zaweza kuwa 1) Yahwe anazungumza "Nitawaita watu waaminifu kuwa mashahidi" au 2) Isaya anazungumza: "Niliwaita wanamume waaminifu kuwa mashahidi" au 3) Yahwe anamuamuru Isaya: "Waite wanamume waaminifu kuwa mashahidi"