# Yahwe alisema kwangu Hapa neno "kwangu" ina maana ya Isaya. # Nitawaita kortini mashahidi waaminifu kushuhudia kwa ajili yangu Maana zaweza kuwa 1) Yahwe anazungumza "Nitawaita watu waaminifu kuwa mashahidi" au 2) Isaya anazungumza: "Niliwaita wanamume waaminifu kuwa mashahidi" au 3) Yahwe anamuamuru Isaya: "Waite wanamume waaminifu kuwa mashahidi"