sw_tn/isa/05/15.md

44 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu atalazimishwa kuinama chini, na binadamu atashushwa
Misemo inayotumika pamoja ina mana moja na inatumika pamoja kwa msisitizo. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mungu atafanya kila mtu kuinama chini na kuwa wanyenyekevu".
# Mtu atalazimishwa kuinama chini, na binadamu atashushwa
Matukio ya siku za usoni yanazungumziwa kana kwamba vimekwisha tendeka.
# Mtu atalazimishwa kuinama chini
Kuinama chini mara kwa mara inaashria kuaibishwa.
# macho ya mwenye majivuno yatakuwa chini
Kuangalia chini mara nyingi ni ishara ya kuaibishwa. "macho ya watu wenye kiburi wataangalia chini kwa aibu" au "watu ambao wanamajivuno sasa wana aibu".
# mwenye majivuno
Hapa watu wenye kiburi, majivuno wanazungumziwa kana kwamba wapo juu zaidi ya watu wengine. "kiburi"
# Yahwe wa majeshi atainuliwa katika haki yake
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu watamsifu Yahwe wa majeshi kwa sababu ni mwenye haki"
# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli
# atainuliwa
Kuheshimiwa inazungumziwa kana kwamba ni kuinuliwa juu. "ataheshimiwa sana"
# kondoo watakula kama kwenye malisho yao wenyewe
Yahwe ataangamiza mji wa Yerusalemu, ambao uliitwa "shamba la mizabibu" katika 5:1. Litakuwa zuri bila chochote ila kwa ajili ya kondoo kula nyasi pale.
# lisha
kula nyasi
# katika uharibifu, kondoo watalisha kama wageni
Yaani, kondoo watalisha pale. Nchi itakuwa haina thamani kwa shughuli nyingine yoyote.