sw_tn/isa/01/29.md

16 lines
554 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza maneno ya Yahwe kwa watu wa Yuda katika mtindo wa shairi.
# Miti ya mwaloni mitakatifu ... bustani
Misemo hii ina maana ya sehemu ambapo watu wa Yuda waliabudu sanamu.
# utaaibika kwa
Baadhi ya tafsiri husema, "utaona aibu kwa sababu ya". Mtu huona aibu uso wake unapochemka, mara kwa mara kwa sababu anahisi amefanya kitu kibaya.
# Kwa maana utakuwa kama mwaloni ambao majani hufifia, na kama bustani ambayo haina maji
Maji hutoa uhai kwa miti na bustani. Watu wamejikata kutoka kwa Yahwe, ambaye hutoa uhai.