sw_tn/hos/13/16.md

20 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Nabii Hosea anazungumza.
# Samaria itakuwa na hatia, kwa sababu ameasi dhidi ya Mungu wake
"Samaria" inamaanisha watu wa mji wa Samaria walio na hatia ya uasi dhidi ya Mungu.
# Wataanguka
Watu watakufa.
# kwa upanga
Vitani.
# watoto wao wadogo watavunjwa, na wanawake wao wajawazito watararuriwa wazi
"adui watawavunja watoto wao wadogo vipande vipande na kuwararua wazi wazi wanawake waajawazito"