# Taarifa ya jumla: Nabii Hosea anazungumza. # Samaria itakuwa na hatia, kwa sababu ameasi dhidi ya Mungu wake "Samaria" inamaanisha watu wa mji wa Samaria walio na hatia ya uasi dhidi ya Mungu. # Wataanguka Watu watakufa. # kwa upanga Vitani. # watoto wao wadogo watavunjwa, na wanawake wao wajawazito watararuriwa wazi "adui watawavunja watoto wao wadogo vipande vipande na kuwararua wazi wazi wanawake waajawazito"