sw_tn/hos/08/04.md

28 lines
731 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# ili wakatiliwe mbali
Hii inaweza kuandikwa "lakini matokeo yake yatakuwa kwamba nitawaharibu watu hao"
# Kukatwa
Kuharibiwa
# Ndama yako imekataliwa, Samaria
Inaweza kuwa na maana 1) Kuhani anazungumza au 2) Bwana anazungumza. "Mimi mwenyewe nitakataa ndama yako, Samaria."
# Ndama wako
Mfalme Yeroboamu wa pili wa Israeli alitengeneza miungu miwili ya dhahabu inayofanana na ndama na kuiweka juu ili watu wa ufalme wake waziabudu.
# Hasira yangu inawaka juu ya watu hawa
Hasira inazungumzwa kama moto.
# Kwa muda gani watakuwa na hatia?
Bwana anauliza swali ili kuonesha hasira yake kuhusu watu wake walio chafuka. "Nina hasira na watu hawa kwa sababu hawatamani kuwa salama"