# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # ili wakatiliwe mbali Hii inaweza kuandikwa "lakini matokeo yake yatakuwa kwamba nitawaharibu watu hao" # Kukatwa Kuharibiwa # Ndama yako imekataliwa, Samaria Inaweza kuwa na maana 1) Kuhani anazungumza au 2) Bwana anazungumza. "Mimi mwenyewe nitakataa ndama yako, Samaria." # Ndama wako Mfalme Yeroboamu wa pili wa Israeli alitengeneza miungu miwili ya dhahabu inayofanana na ndama na kuiweka juu ili watu wa ufalme wake waziabudu. # Hasira yangu inawaka juu ya watu hawa Hasira inazungumzwa kama moto. # Kwa muda gani watakuwa na hatia? Bwana anauliza swali ili kuonesha hasira yake kuhusu watu wake walio chafuka. "Nina hasira na watu hawa kwa sababu hawatamani kuwa salama"