sw_tn/hos/07/16.md

16 lines
356 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Wao ni kama upinde usiotumainika
Huu upinde hautumiki.
# kwa sababu ya udhalimu wa vinywa vyao
Hapa "vinywa" ni maneno yaliyosemwa na maofisa. "Kwa sababu wamenitukana mimi" au "kwa sababu wamenilaani mimi"
# Hii itakuwa ni aibu yao katika nchi ya Misri.
"Hii ndiyo sababu kwamba Misri itawacheka Waisraeli"