# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Wao ni kama upinde usiotumainika Huu upinde hautumiki. # kwa sababu ya udhalimu wa vinywa vyao Hapa "vinywa" ni maneno yaliyosemwa na maofisa. "Kwa sababu wamenitukana mimi" au "kwa sababu wamenilaani mimi" # Hii itakuwa ni aibu yao katika nchi ya Misri. "Hii ndiyo sababu kwamba Misri itawacheka Waisraeli"