sw_tn/hos/07/14.md

16 lines
419 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# wanaomboleza kwenye vitanda vyao
Ilikuwa ni kawaida kwa wanaoabudu sanamu kula nyama za sherehe wakiwa wamelala kwenye vitanda.
# nao wananiasi mimi
Hawamwabudu tena Bwana wamegeuka na kumwacha.
# Ingawa niliwafundisha na kuimarisha mikono yao
Mungu aliwafundisha Waisraeli kumpenda na kumtii yeye kitendo hiki kinazungumzwa kama kitendo cha kuwafundisha watu wake vita.