# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # wanaomboleza kwenye vitanda vyao Ilikuwa ni kawaida kwa wanaoabudu sanamu kula nyama za sherehe wakiwa wamelala kwenye vitanda. # nao wananiasi mimi Hawamwabudu tena Bwana wamegeuka na kumwacha. # Ingawa niliwafundisha na kuimarisha mikono yao Mungu aliwafundisha Waisraeli kumpenda na kumtii yeye kitendo hiki kinazungumzwa kama kitendo cha kuwafundisha watu wake vita.