sw_tn/hos/05/14.md

28 lines
587 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Mungu anazungumza juu ya Yuda na Israeli.
# Kwa hiyo nitakuwa kama simba kwa Efraimu
Bwana ataenda kuishambulia Efraimu kama simba.
# kama mwana simba kwa nyumba ya Yuda
Bwana atawatendea Yuda vivyo hivyo.
# Mimi, naam mimi
Bwana anasisitiza kuwa yeye ataleta hukumu kwa watu wake wote.
# Nitararua
Kama simba anavyorarua mnyama anayemla hivyo Bwana atawararua watu waketoka kwenye nyumba na nchi yao.
# Nitakwenda na kurudi mahali pangu
Bwana atawaacha waasi.
# na kutafuta uso wangu
Kujaribu kwenda katika uwepo wa Mungu kwa njia ya kuabudu na kafara.