sw_tn/hos/05/01.md

24 lines
698 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi:
Bwana anazungumza kuhusu Israeli.
# Mmekuwa mtego huko Mizpa na wavu uliosambazwa juu ya Tabori.
Mtego na wavu ni vifaa vinavotumika kukatatia mawindo. Misoa na Tabori yalikuwa maeneo ya kuabudia miungu katika nchi ya Israeli.
# Waasi husimama sana katika mauaji
"waasi" ni wale wote waliomuasi Bwana na mauaji inaelezea namna ambavyo mauaji ya watu wasio na hatia yanafanyika ikiwemo kutoa kafara kwa miungu ya kipagani.
# Waasi
Mtafsiri anaweza kuiweka hii kama "ninyi waasi" kwa sababu Mungu anazungumza juu ya watu waasi wa Israeli.
# mauaji
Baadhi ya nakala za kisasa za kiebrania neno hili limesimama kama uovu.
# nitawaadhibu wote
"Nitawaadhibu ninyi nyote"