# Sentensi unganishi: Bwana anazungumza kuhusu Israeli. # Mmekuwa mtego huko Mizpa na wavu uliosambazwa juu ya Tabori. Mtego na wavu ni vifaa vinavotumika kukatatia mawindo. Misoa na Tabori yalikuwa maeneo ya kuabudia miungu katika nchi ya Israeli. # Waasi husimama sana katika mauaji "waasi" ni wale wote waliomuasi Bwana na mauaji inaelezea namna ambavyo mauaji ya watu wasio na hatia yanafanyika ikiwemo kutoa kafara kwa miungu ya kipagani. # Waasi Mtafsiri anaweza kuiweka hii kama "ninyi waasi" kwa sababu Mungu anazungumza juu ya watu waasi wa Israeli. # mauaji Baadhi ya nakala za kisasa za kiebrania neno hili limesimama kama uovu. # nitawaadhibu wote "Nitawaadhibu ninyi nyote"