sw_tn/hos/02/19.md

20 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza na Hosea kuhusu namna atakavyowafanyia Israeli.
# Nitakuwa mume wako milele
Bwana atakuwa kama mume na Israeli atakuwa kama mke wa Bwana.
# Nitakuwa mume wako kwa uaminifu
Bwana atakuwa mwaminifu kwa agano lake kwa Israeli.
# mume kwa uaminifu
"mume mwaminifu"
# Nawe utanijua mimi, Bwana
Hapa "kuniju" inamaanisha kumtambua Bwana kama Mungu na kuwa mwaminifu kwake.