# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza na Hosea kuhusu namna atakavyowafanyia Israeli. # Nitakuwa mume wako milele Bwana atakuwa kama mume na Israeli atakuwa kama mke wa Bwana. # Nitakuwa mume wako kwa uaminifu Bwana atakuwa mwaminifu kwa agano lake kwa Israeli. # mume kwa uaminifu "mume mwaminifu" # Nawe utanijua mimi, Bwana Hapa "kuniju" inamaanisha kumtambua Bwana kama Mungu na kuwa mwaminifu kwake.