sw_tn/heb/11/27.md

16 lines
449 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alivumilia kana kwamba alikuwa alimwona yeye asiye onekana
Musa anaongelewa kana kwamba alimwona Mungu, ambaye haonekani.
# yule ambaye haonekani
"yeye ambaye hakuna mtu anaweza kumwona"
# Kunyunyiza kwa damu
Hii inamaanisha amri ya Mungu kwa Waisraeli kuchinja mwana kondoo na kusambaza juu ya kila muimo wa kila nyumba mahali ambapo waliishi Hii ingezuia muharibifu kutowaaribu wazaliwa wao wa kwanza.
# usiguse
"usidhuru" au " usiue"