# alivumilia kana kwamba alikuwa alimwona yeye asiye onekana Musa anaongelewa kana kwamba alimwona Mungu, ambaye haonekani. # yule ambaye haonekani "yeye ambaye hakuna mtu anaweza kumwona" # Kunyunyiza kwa damu Hii inamaanisha amri ya Mungu kwa Waisraeli kuchinja mwana kondoo na kusambaza juu ya kila muimo wa kila nyumba mahali ambapo waliishi Hii ingezuia muharibifu kutowaaribu wazaliwa wao wa kwanza. # usiguse "usidhuru" au " usiue"