sw_tn/heb/10/38.md

20 lines
766 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
katika 10:38 mwandishi ananukuu kutoka kwa nabii Habakuki, ambayo moja kwa moja inafuata nukuu kutoka kwa nabii Isaya 10:37.
# mwenye haki wangu...kama akigeuka... pamoja naye
Haya maneno yanamaanisha kwa watu wa Mungu wowote.AT: "watu wangu waaminifu ...kama mmoja wao akigeuka...kwa mtu huyo" au " watu wangu waaminifu... kama wakigeuka ... nao"
# kama akigeuka
kukosa ujasiri na imani kunaongelewa kana kwamba ilikuwa nikugeuka kutoka kufuata njia.
# wanaogeuka kuelekea uangamivu
kukosa ujasiri na imani kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kugeuka kutoka katika kufuata njia.
# kwa kuzilinda imani roho zetu
kuishi milele na Mungu kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kutunza roho ya mtu, Na roho hapa inamaanisha mtu mzima mzima.