# Maelezo ya Jumla: katika 10:38 mwandishi ananukuu kutoka kwa nabii Habakuki, ambayo moja kwa moja inafuata nukuu kutoka kwa nabii Isaya 10:37. # mwenye haki wangu...kama akigeuka... pamoja naye Haya maneno yanamaanisha kwa watu wa Mungu wowote.AT: "watu wangu waaminifu ...kama mmoja wao akigeuka...kwa mtu huyo" au " watu wangu waaminifu... kama wakigeuka ... nao" # kama akigeuka kukosa ujasiri na imani kunaongelewa kana kwamba ilikuwa nikugeuka kutoka kufuata njia. # wanaogeuka kuelekea uangamivu kukosa ujasiri na imani kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kugeuka kutoka katika kufuata njia. # kwa kuzilinda imani roho zetu kuishi milele na Mungu kunaongelewa kana kwamba ilikuwa ni kutunza roho ya mtu, Na roho hapa inamaanisha mtu mzima mzima.