forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
682 B
Markdown
24 lines
682 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Hii inaendeleza nukuu kutoka kwa nabii Yeremia.
|
||
|
|
||
|
# Hawatafundishana kila mmoja na jirani yake, na kila mtu na ndugu yake, akisema, 'Mjue Bwana.'
|
||
|
|
||
|
Nukuu hii ya moja kwa moja inaweza kuengelewa kana kwamba ni nukuu isiyo ya moja kwa moja. AT: "Hawatahitaji kuwafundisha jirani zao au ndugu za kunijua"
|
||
|
|
||
|
# jirani... ndugu
|
||
|
|
||
|
Haya maneno mawili yanalenga Waisraeli wenzao.
|
||
|
|
||
|
# Kumjua Bwana...wote watanijua mimi
|
||
|
|
||
|
Neno "kujua" hapa linasimama kwa maana ya kutambua.
|
||
|
|
||
|
# kwa matendo yao yasiyo ya haki
|
||
|
|
||
|
Hili linasimama kwa ajili ya watu waliofanya matendo haya yasiyo ya haki.
|
||
|
|
||
|
# Sitazikumbuka dhambi zao tena
|
||
|
|
||
|
Neno "kumbuka" linamaanisha "sitafikiri kuhusu dhambi hizo"
|