sw_tn/heb/05/12.md

24 lines
827 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kanuni za msingi
kanuni hapa zinamaanisha maelekezo au viwango vya kufanya maamuzi. AT:"msingi wa ukweli"
# Mnahitaji maziwa
mafundisho kuhusu Mungu ambayo ni rahisi kuelewa yanaongelewa ni maziwa, chakula pekee ambacho watoto wachanga wanaweza kula. AT: "mmekuwa watoto na mnaweza kunywa maziwa pekee"
# si chakula kigumu
mafundisho ambayo ni magumu kuelwa yanaongelewa kana kwamba kilikuwa ni chakula kigumu, kifaacho kwa watu wazima.
# anywaye maziwa
anywaye linasimama ka kunywa.
# kwa sababu bado ni mtoto
hii inaongelea waumni ambao wanaweza kuelewa mafundisho rahisi ya injili kana kwamba walikuwa watoto halisi.
# ambao kwa sababu ya uzoefu wao katika kutofautisha haki na ubaya wamefundishwa kutambua jema na ovu.
watu walifundishwa kuelwa jambo wanaelezewa kana kwamba ni uwezo wa kuelewa umefundishwa.