# kanuni za msingi kanuni hapa zinamaanisha maelekezo au viwango vya kufanya maamuzi. AT:"msingi wa ukweli" # Mnahitaji maziwa mafundisho kuhusu Mungu ambayo ni rahisi kuelewa yanaongelewa ni maziwa, chakula pekee ambacho watoto wachanga wanaweza kula. AT: "mmekuwa watoto na mnaweza kunywa maziwa pekee" # si chakula kigumu mafundisho ambayo ni magumu kuelwa yanaongelewa kana kwamba kilikuwa ni chakula kigumu, kifaacho kwa watu wazima. # anywaye maziwa anywaye linasimama ka kunywa. # kwa sababu bado ni mtoto hii inaongelea waumni ambao wanaweza kuelewa mafundisho rahisi ya injili kana kwamba walikuwa watoto halisi. # ambao kwa sababu ya uzoefu wao katika kutofautisha haki na ubaya wamefundishwa kutambua jema na ovu. watu walifundishwa kuelwa jambo wanaelezewa kana kwamba ni uwezo wa kuelewa umefundishwa.