sw_tn/hab/01/12.md

20 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla:
Habakuki anazungumza kwa Yahwe kuhusu Wakaldayo.
# Wewe si kutoka nyakati za kale, Yahwe Mungu wangu, Mtakatifu wangu?
NI: "Wewe ni wa milelel, Yahwe Mungu wangu, Mtakatifu wangu."
# wao ... wao
Wakaldayo
# Mwamba
kinga ya Israeli
# Waliwekwa kwaajili ya lengo la kuisahihisha Israeli
"Wao waliwekwa kwa lengo la kuisahihisha Israeli"