# Taarifa kwa ujumla: Habakuki anazungumza kwa Yahwe kuhusu Wakaldayo. # Wewe si kutoka nyakati za kale, Yahwe Mungu wangu, Mtakatifu wangu? NI: "Wewe ni wa milelel, Yahwe Mungu wangu, Mtakatifu wangu." # wao ... wao Wakaldayo # Mwamba kinga ya Israeli # Waliwekwa kwaajili ya lengo la kuisahihisha Israeli "Wao waliwekwa kwa lengo la kuisahihisha Israeli"